|
Bodi inatumia njia ambazo
zinakubaliana na hukumu za sheria ya Kiislamu: Kati ya
hizo ni:
1.
Kuweka vipimo vya kutathmini
tafiti zinazohusiana na miujiza ya kisayansi katika
Qurani na Sunna.
2.
Kuzidurusu aya za Qurani na
hadithi za Mtume zinazohusu masuala ya miujiza ya
kisayansi.
3.
Kudurusu tafiti za miujiza ya
kisayansi nakuziangalia kwa kina kwa upande wa kisheria
na kidunia na kuruhusu yanayofaa kati yake.
4.
Kuhamasisha tafiti za mtu peke
yake na za makundi ya watu katika uwanja wa miujiza ya
kisayansi katika Qurani na Sunna.
5.
Kuratibu juhudi za watafiti
wanaofanyakazi katika uwanja wa miujiza ya kisayansi.
6.
Kufuatilizia yanayofikiwa na
wataalamu katika nyanja za kidunia, wanayoandika na
wanayochapisha kuhusu masuala ya kisayansi
yanayoshikamana na Qurani na Sunna, durusu zake na
tathmini zake.
7.
Kuimarisha uhusiano na
wanaohusika na elimu za kiislamu na kidunia kati ya
waislamu na wasiokuwa waislamu.
8.
Kuwasiliana na bodi zinazohusika
na elimu za kiislamu na kidunia na kubadilishana
maelezo.
9.
Kutoa vitabu na majarida yenye
shime ya miujiza ya kisayansi katika Qurani na Sunna na
kuvisambaza kwa wenye shime na wenye kupenda
ulimwenguni.
10.
Kuitisha mikutano, semina na
vikao vya tafiti zinazohusika na miujiza ya kisayansi
katika Qurani na Sunna, na kuzichapisha tafiti zake na
kushirikim katika mikutano na semina nyengine zenye
kuhusika.
11.
Kuchapisha tafiti zilizopitishwa
kwa inayolingana na viwango vya watu vya kielimu na
kitamaduni na kuzifasiri kwa lugha mbali mbali.
12.
Kuwapatia walinganiaji na waenezi
ulimwenguni – mtu mmoja mmoja na taasisi – kuwapatia
tafiti zilizopitishwa kati ya hizo, kila moja katika
uwanja wake.
13.
Kushirikiana na taasisi za
kisayansi na bodi za kisayansi zinazohusika na kufanya
vikao na mikutano baina ya wenye kufanyakazi katika
masuala ya miujiza ya kisayansi katika Qurani na Sunna.
14.
Kujitahidi kwa wahusika, wa elimu
binafsi na ya serikali, katika taasisi za kielimu na
mashirika ya kiislamu yenye shime na sayansi na
utamaduni, kuziingiza tafiti zilizopitishwa na bodi
katika jumla ya mitaala ya kielimu katika awamu tofauti
za masomo zinazofaa.
15.
Kuvihimiza vyu vikuu kutoa nafasi
na kuhamasisha usajili katika miujiza ya kisayansi
katika Qurani na Sunna.masomo ya juu na kutoa nfasi za
masomo katika uwanja wa |