|
|
|
Muhtasari Wa Utafiti Za Falaki Na Anga |
|
Maudhui |
Aya Na Hadithi |
Kuangalia |
|
JUA KAMA NI
TAA NA MWEZI WENYE NURU |
Mwenyezi Mungu Amesema, “ Ni
mwenye kuleta baraka (kweli kweli) yule Aliyezijaalia
nyota mbinguni, na Akajaalia humo jua na mwezi
unaong’ara.” Aya ya 61 ya Suratul Furqan. |
 |
|
KUPANDA MBINGUNI |
Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema, “ Basi yule ambaye
Mwenyezi Mungu Anataka kumuongoza, Hufungulia kifua
chake Uislamu; na yule ambaye Mwenyezi Mungu Anataka
kumhukumu kupotea, Hufanya kifua chake kizito kinaona
tabu kubwa (kufuata huo Uislamu); kama kwamba anapanda
mbinguni (kusikokuwa na pumzi). Namna hivi Mwenyezi
Mungu Anajaalia uchafu juu ya wale wasioamini.
Aya ya 125 Suratul
An-am. |
 |
|
MAWINGU YANAYOLETA MVUA |
Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema:
“ Naapa kwa mawingu yanayoleta mvua.” Aya ya 11 ya
Suratul Tariq. |
 |
|
NYOTA
ZINAZOREJEA NYUMA ZINAZOKWENDA NA KUJIFICHA |
Mwenyezi Mungu Anasema, “ Basi
Naapa kwa nyota zinazorejea nyuma. Zinazokwenda, kisha
zikajificha.” Aya za 15 na 16 za Suratul At Takwyr. |
 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
| |
|
|
| |
|
|
| |
|
|
| |
|
|
|
|