Bodi ya Kimataifa Ya Miujiza Ya Kisayansi Ya Qurani Na sunna    
Risala yetu: Kudhihirisha miujiza ya kisayansi Na kuihakiki na kuichapisha.

Lugha

Ukurasa Uliotangulia

Ukurasa Kuu Udaktari Falaki Na Anga Ardhi Na Bahari Sheria Za Kiislamu  

 

Muhtasari Wa Utafiti Katika Maeneo
Maudhui

Aya Na Hadithi

Kuangalia

ACHENI KATIKA MASHUKE YAKE 

Mwenyezi Mungu Mtukufu Anasema, “  Yussuf! Ewe mkweli ! Tueleze hakika ya ng’ombe saba wanene kuliwa na ng’ombe saba dhaifu. Na mashuke saba mabichi na mengine yamekauka, ili nirejee kwa watu wapate kujua. Akasema: “ Mtalima miaka saba mfululizo kwa juhudi (yaani limeni miaka saba kwa juhudi, kwani itaingia njaa kubwa baada ya miaka saba). Na mtakavyovivuna, viacheni katika mashuke yake, isipokuwa kidogo mnavyokula (ili mnavyoviacha mule miaka ya njaa itakayokuja.) Kisha inakuja baadaye miaka saba ya shida itakayokula vile mlivyoipa (yaani watu watakula ile akiba mliyoiweka) isipokuwa kidogo mtakachohifadhi (kwa ajili ya kupandia)
     
     
     
     
     
     
     
     
     
     
     
     
     

 

 

 

 

 
 

Kungiyar mu’ujizar ilimi na Alqur’ani da Sunna da duniya  (1428-2007)